Nini Tofauti Ya Qiyaamul-Layl Na Swalaah Ya Taraawiyh?

SWALI: Assalaam alaykum warahmatullahi wabarakatuhu. Nataka kujua tofauti baina ya Swalah ya Qiyaamul-Llay na Swalah ya Tarawiy? Nitashukuru kupata jibu. Jazakallah. Wassalamu alaikum warahmatullahi wabarakatuh.

JIBU: AlhamduliLlaah. Swalaah ya Taraawiyh ni Qiyaamul-Layl (kisimamo cha usiku). Hakuna tofauti baina ya Swalaah hizi mbili, kama watu wengi wanavyodhania. Taraawiyh (mapumziko) imeitwa hivyo kwa sababu Salafus-Swaalih (wema waliotangulia (Allaah

Vitambulisho: