Kupenda Futboli Ni Vibaya? Hukmu Ya Wanaoacha Swalaah Kwa Ajili ya Kutazama Mpira Wa Miguu?

SWALI: Assalamu Aleykum Warrahmatullahi Wabarakatu. Naomba kuuliza swali. Swali langu ni kama ifuatavyo; jee ni haramu kucheza, kuangaliya ama kuwa shabiki mkuu wa football? Sababu ya kuuliza swali hili ni kutaka kupata uhakika kuhusu swali hili. Kuna baadhi ya watu ambao wanapoteza wakati wao wote wakiwa wanaangaliya mpira na huku umewadiya wakati wa swala lakini hawaendi kuswali kwa sababu hawataki kupitwa na mchezo huwo. Tafadhali nijibuni swala hili ili niweze kujadiliyana nao, shukran. Wa jazakummullahul kheir.

JIBU:
Vitambulisho: