Ni Ipi Swalaah Ya Awwaabiyn Na Swalaah Ya Rakaa Sita Baada Ya Maghrib

SWALI: Naomba kufahamu ni ipi salatu al awabiin na salah ya rakaa 6 baada ya maghrib

JIBU: Sifa zote njema Anastahiki Allaah Aliyetukuka Mola wa walimwengu wote, Swalah na salamu zimshukie kipenzi chetu Mtume Muhammad (Swalla Allaahu ‘alayhi wa aalihi wa sallam) na Swahaba zake (Radhwiya Allaahu ‘anhum) na watangu wema mpaka Siku ya Mwis

Vitambulisho: