Kuomba Duaa Baada Ya Swalaah Na Kunyanyua Mikono Inajuzu?

SWALI: Assalam Alleykum je ni sahihi kujiombea dua peke baada ya Swala Kwa kunyanyua mikono juu

JIBU: AlhamduliLLaah Himidi Anastahiki Allaah (Subhaanahu wa Ta’aala) Rabb wa walimwengu, Swalaah na salamu zimshukie Nabiy Muhammad (Swalla Allaahu 'alayhi wa aalihi wa sallam) na Swahaba zake (Radhwiya Allaahu 'anhum) na waliowafuata kwa wema mpa

Vitambulisho: