Mwanamke Anavaa Hijaab Lakini Anavaa Suruwali Ya Kubana Anaposwali, Je, Swalaah Yake Inakubalika?

SWALI: Mwanamke anayevaa hijabu lakini huvaa suruali ya kubana, kisha akasali vipi? Naomba majibu, Rabbi akuzidishieni elmu ya manufaa na akupeni taqwa na atuongoze nyie nasie AMIN.

JIBU: AlhamduliLLaah - Himidi Anastahiki Allaah (Subhaanahu wa Ta’aala) Rabb wa walimwengu, Swalaah na salamu zimshukie Nabiy Muhammad (Swalla Allaahu 'alayhi wa aalihi wa sallam) na Swahaba zake (Radhwiya Allaahu 'anhum) na waliowafuata kwa wema mpak

Vitambulisho: