Ikiwa Mtachezeana Tu Na Kutokwa Manii Inapasa Kukoga Josho?

SWALI Assalamu aleikum, Ninaelewa unaweza au mnaweza kugusana tupu baina ya mke na mume na ikawa hamtokuwa wenye kuhitajika kukoga Janaba.Isipokuwa kama ntatokwa na shahawa. Swala langu lipo hapo najua vigumu kwa mwanamke kukumbana na umbile lauum

JIBU: Tunatoa shukrani zetu za dhati kwa Allah Mtukufu kwa kutupatia fursa hii na neema kubwa ya kuwa Waislamu na tunatarajia kuwa Atatuweka katika hali hiyo mpaka tunapoaga dunia. Swalah na salamu zimfikie kipenzi chetu, Nabii Muhammad Mtume (Swalla All

Vitambulisho: