Ni Lazima Kujisafisha Sehemu Za Siri Unapotaka Kufanya Wudhuu?

SWALI: Napenda kujua ikiwa uko safarini au sehemu ya shughuli ni vigumu kupata kutumia Choo kwa haraka, je ikiwa hujabanwa haja yeyote unaweza kutawadha tu na kuswali bila ya kuingia chooni Hapa nina maanisha inawezekana hapo kabla umepata hewa, j

JIBU: Sifa zote njema Anastahiki Allaah Aliyetukuka Mola wa walimwengu wote, Swalah na salamu zimshukie kipenzi chetu Mtume Muhammad (Swalla Allaahu ‘alayhi wa aalihi wa sallam) na Swahaba zake (Radhiya Allaahu ‘anhum) na watangu wema mpaka Siku ya Mwisho

Vitambulisho: