Mwanamke Anasumbuliwa Na Kutokwa Na Ute Kwa Miaka Mingi, Afanyeje?

SWALI: Asalam alaykum, Napenda kumshukuru mnyezi mungu na kumtakia rehma mtume wake Muhammad (S.W.A) kwa kunipa afya, napenda kuuliza swali kwamba mimi nina mtihani mkubwa sana, kuhusu kujitwaharisha tangia nimekuwa msichana nikiwa na umri wa m

JIBU: Sifa zote njema Anastahiki Allaah Aliyetukuka Mola Mlezi wa walimwengu wote, Swalah na salamu zimshukie kipenzi chetu Mtume Muhammad (Swalla Allaahu ‘alayhi wa aalihi wa sallam) na Swahaba zake (Radhiya Allaahu ‘anhum) na watangu wema mpaka Sik

Vitambulisho: