Kiasi Cha Maji Kuondosha Najsi

SWALI: nikiasi gani cha maji kinaweza ku twaharisha maali ambapo kuna najisi Naona nikijibiwa mapema nitapata amani ya roho. asante ndungu zangu,Mola awajaanlie mwisho mwema.

JIBU: Sifa zote njema Anastahiki Allaah Aliyetukuka Mola wa walimwengu wote, Swalah na salamu zimshukie kipenzi chetu Mtume Muhammad (Swalla Allaahu 'alayhi wa aalihi wa sallam) na Swahaba zake (Radhiya Allaahu 'anhum) na watangu wema mpaka Siku ya Mwis

Vitambulisho: