Kujishika Sehemu Za Siri Baada Ya Kutia Wudhuu Katika Ghuslu (Josho)

SWALI: Naomba kuuliza hivi: Nimesoma kuwa unapojitoharisha hedhi au janaba, unatakiwa kwanza ufanye udhu. Sasa ukishatia udhuu halafu tena ukawa unaoga na unajisafisha kwa sabuni mwili wako, kisha ukashika sehemu za siri kwa ajili ya kujisafisha

JIBU: Sifa zote njema Anastahiki Allaah Aliyetukuka Mola Mlezi wa walimwengu wote, Swalah na salamu zimshukie kipenzi chetu Mtume Muhammad (Swalla Allaahu ‘alayhi wa aalihi wa sallam) na Swahaba zake (Radhiya Allaahu ‘anhum) na watangu wema mpaka Siku

Vitambulisho: