Wudhuu Unatenguka Akipeana Mkono Au kugusana Na Asiye Muislamu?

SWALI: Kupeana mikono kwa kusalimiana na mtu mwanaume mwenzangu lakini si muislamu (mkristo) inatengua UDHU

JIBU: Sifa zote njema Anastahiki Allaah Aliyetukuka Mola Mlezi wa walimwengu wote, Swalah na salamu zimshukie kipenzi chetu Mtume Muhammad (Swalla Allaahu ‘alayhi wa aalihi wa sallam) na Swahaba zake (Radhiya Allaahu ‘anhum) na watangu wema mpaka Siku

Vitambulisho: