Mwanamke Anapomaliza Hedhi Anaweza Kufanya Wudhuu Pekee Kisha Afanye Jimai Na Mumewe Kabla Ya Kuoga Ghuslu?

SWALI: Assalaam Alaykum Warahmatullah Wabarakatuh. Baada ya salam naomba ufafanuzi wa swali langu hili. Ninavyoelewa nikuwa mwanamke anapokuwa katika hedhi haruhusiwi kukutana na mumewe kimwili mpaka atwahirike ( akoge kwa ajili ya kuong

JIBU: Sifa zote njema Anastahiki Allaah Aliyetukuka Mola Mlezi wa walimwengu wote, Swalah na salamu zimshukie kipenzi chetu Mtume Muhammad (Swalla Allaahu ‘alayhi wa aalihi wa sallam) na Swahaba zake (Radhiya Allaahu ‘anhum) na watangu wema mpaka Siku

Vitambulisho: