Kiasi Gani Cha Alcohol Katika Vipodozi Kinahesibaki Kuwa Ni Najisi?

SWALI LA KWANZA: a.a.m ndugu waislamu mimi nataka kujua kama ukitumia mafuta ya nywele yaliotiwa isoproyl alcohol na alcohol denat ni najis yafafaa kutumia au hayafai kutumia. Nafurahii sana kupata mahali kama hapa kuuliza maswali ya kiislamu in

JIBU : Sifa zote njema Anastahiki Allaah Aliyetukuka Mola Mlezi wa walimwengu wote, Swalah na salamu zimshukie kipenzi chetu Mtume Muhammad (Swalla Allaahu 'alayhi wa aalihi wa sallam) na Swahaba zake (Radhiya Allaahu 'anhum) na watangu wema mpaka Siku

Vitambulisho: