Kutaja Jina La Allaah Chooni

SWALI: Je vibaya kutaja jina la M/Mungu chooni ? japo a'udhubiLLaahi mina shaytwani rajim. Na je kuvaa kidani au pete yenye jina la M'Mungu chooni vibaya?

JIBU Haifai kutaja jina la Allaah chooni. Ikibidi kama kuanza wudhuu basi sema moyoni. Vile vile haifai kuvaa kidani chenye jina la Allaah au aya ya Qur'aan na kwenda nayo chooni, Haipendezi kuvaa mavazi na vitu vyenye ayah na majina ya Allaah. Wa Allahu A'alam
Vitambulisho: