Ameharibu Mimba Karibu Na Miezi Mitatu. Je, Damu Inakuwa Ya Aina Gani? Nifaas Au Istihaadhah?

SWALI: Assalam alaykum Nilikuwa na mimba baina ya miezi miwili au mitatu, nikaharibu mimba. Nilivyopata mafunzo kuwa inakuwa ni damu ya Istihaadhah na hivyo napaswa kusali na kufunga. Lakini damu hiyo ni nzito na imetoka mapande mapande

JIBU: Sifa zote njema Anastahiki Allaah Aliyetukuka Mola Mlezi wa walimwengu wote, Swalah na salamu zimshukie kipenzi chetu Mtume Muhammad (Swalla Allaahu ‘alayhi wa aalihi wa sallam) na Swahaba zake (Radhiya Allaahu ‘anhum) na watangu wema mpa

Vitambulisho: