Ni Lazima Kutumia Shampoo Na Sabuni Katika Kujitia Twahara (Ghusl?)

SWALI: Aaw - swali langu ni hili unapooga janaba ni lazima nywele uzioshe na shampoo au unapotia maji mwili mzima na kichwa inatosha kwani nywele wakati mwingine si chafu unakuwa umeosha karibuni. Asalam alekum. SWALI LA PILI: Assalamu_al

JIBU: Sifa zote njema Anastahiki Allaah Aliyetukuka Mola wa walimwengu wote, Swalah na salamu zimshukie kipenzi chetu Mtume Muhammad (Swalla Allaahu ‘alayhi wa aalihi wa sallam) na Swahaba zake (Radhiya Allaahu 'anhum) na watangu wema mpaka Siku ya Mwish

Vitambulisho: