Mas-hul-Khuffayn - Kufanya Wudhuu Juu Ya Soksi Au Viatu

SWALI LA KWANZA: Tunawaombea Alhidaaya uwezo wa kujibu maswali yetu kwani tunafaidika na mengi tusiyoyajua. Nimesikia kuwa unaweza kufanya wudhu wa sala bila ya kuosha miguu na badala yake uvae soksi na upanguse kwa maji. Je ni kweli Na hata ka

JIBU: Sifa zote njema Anastahiki Allaah Aliyetukuka Mola wa walimwengu wote, Swalah na salamu zimshukie kipenzi chetu Mtume Muhammad (Swalla Allaahu ‘alayhi wa aalihi wa sallam) na Swahaba zake (Radhiya Allaahu ‘anhum) na watangu wema mpaka Siku ya Mwish

Vitambulisho: