Kujifuta Maji Baada Ya Kuoga Na Kuchukua Wudhuu, Inajuzu?

SWALI: A.W.W. Je nikishaoga bila kujikausha maji, nikatawadha halafu ndio nikajifuta mwili kwa taulo safi, itakuwa nimetengua udhu wangu Au ni lazima nioge, nijikaushe kwanza kabla ya kutawadha Ahsanteni na Mwenyezi Mungu awajaze kheri.

JIBU: Sifa zote njema Anastahiki Allaah Aliyetukuka Mola Mlezi wa walimwengu wote, Swalah na salamu zimshukie kipenzi chetu Mtume Muhammad (Swalla Allaahu ‘alayhi wa aalihi wa sallam) na Swahaba zake (Radhiya Allaahu ‘anhum) na watangu wema mpaka Siku

Vitambulisho: