Damu Ya Hedhi Inayoendelea Kwa Muda Mrefu

SWALI: asalam alaikum warahma tullahi wabarakatum, mie nina suala linanitatiza , ukweli mimi nimejaribu kuweka luppu na madaktari wamenambia inachukua muda wa miezi 3 nitakuwa nableeding na kweli mpaka leo karibu miezi 2 na nusu naendelea kubleedi

JIBU: Sifa zote njema Anastahiki Allaah Aliyetukuka Mola wa walimwengu wote, Swalah na salamu zimshukie kipenzi chetu Mtume Muhammad (Swalla Allaahu ‘alayhi wa aalihi wa sallam) na Swahaba zake (Radhiya Allaahu ‘anhum) na watangu wema mpaka Siku ya Mwish

Vitambulisho: