Nguo Ikiingia Pombe Ni Najisi? Akishika Pombe Kwa Bahati Mbaya Wudhuu Unatenguka?

SWALI: Napenda kuuliza tena kuhusu suali la tohara. Ikiwa nguo ya Muislamu imemwagikiwa na Pombe. Inatoharika vipi au yaweza kusalia nayo Na kama mkono wa Muislamu umeshika pombe japo kwa bahati mbaya. Kunawa na kuendelea kuswali kunafaa Na ka

JIBU Sifa zote njema Anastahiki Allaah Aliyetukuka Mola Mlezi wa walimwengu wote, Swalah na salamu zimshukie kipenzi chetu Mtume Muhammad (Swalla Allaahu ‘alayhi wa aalihi wa sallam) na Swahaba zake (Radhiya Allaahu ‘anhum) na watangu wema mpaka Siku

Vitambulisho: