Damu Inayotoka Akiwa Mja Mzito Ni Kama Ya Hedhi Je Aswali?

SWALI: Asalamu Alaykum: Mimi ndugu yenu muislam nina suali langu linanipa utata naomba ufafanuzi kutoka kwenu. Suali langu ni hili:- Hivi mtu akiwa mja mzito akawa anablid mara kwa mara na damu inatoa harufu kama ya hedhi jee anaruhusika kuswali

JIBU: Sifa zote njema Anastahiki Allaah Aliyetukuka Mola Mlezi wa walimwengu wote, Swalah na salamu zimshukie kipenzi chetu Mtume Muhammad (Swalla Allaahu ‘alayhi wa aalihi wa sallam) na Swahaba zake (Radhiya Allaahu ‘anhum) na watangu wema mpaka Siku ya

Vitambulisho: