Tofauti Ya Madhehebu Katika Mas-alah Ya Wudhuu Kutenguka Kwa Mume Na Mke Kugusana

SWALI: mimi ni msichana mwenye umri wa miaka 27 nimesoma dini alhadullah nashkuru nilivo vipata kkuna wengi hawajui hata kusoma anagalau mistari miwili ya kuran lakin nashkuru mungu kanijalia naweza kusoma uzuri tu. suala langu mimi nilivo soma

JIBU: Sifa zote njema Anastahiki Allaah Aliyetukuka Mola Mlezi wa walimwengu wote, Swalah na salamu zimshukie kipenzi chetu Mtume Muhammad (Swalla Allaahu ‘alayhi wa aalihi wa sallam) na Swahaba zake (Radhiya Allaahu ‘anhum) na watangu wema mpaka Siku

Vitambulisho: