Maji Ambayo Yanadondokea Nguo Ya Ndani Wakati Anapokwenda Msalani (Chooni) Yanatengua Udhu Na Ile Nguo Itafaa Kuswalia?

SWALI: ASALAM ALEHKUM POLENI NA KAZI, NA MWENYEZI MUNGU ATA WAJAALIA NGUVU ZAIDI ILI MUWEZE KUTUSAIDIA SISI. SWALI YANGU KAMA IFUATAVYO. JE NIKIENDA KUJISAIDIA CHOONI ALAFU NIKASTANCHI KWA MAJI NIKA RUDIA KUVAA NGUO YA NDANI NIKASWALI ALAFU

JIBU: Sifa zote njema Anastahiki Allaah Aliyetukuka Mola Mlezi wa walimwengu wote, Swalah na salamu zimshukie kipenzi chetu Mtume Muhammad (Swalla Allaahu ‘alayhi wa aalihi wa sallam) na Swahaba zake (Radhiya Allaahu ‘anhum) na watangu wema mpaka Siku

Vitambulisho: