Kuhudhuria Darsa Msikitini Wanawake Wenye Hedhi

SWALI: Jee unweza kuhudhuria darsa msikitini sehemu ya wanawake ukiwa katika hedhi, Na kuweza kusomesha wanafunzi bila ya kuishika

JIBU: Wanachuoni wengi wamekubaliana kuwa kupita msikitini kwa dharura kunakubalika. Na wengine wameonelea mwanamke mwalimu au mwenye kusoma (mwanafunzi) anaweza kuhudhuria madarasa hayo kwa sababu asipoteze ile elimu kwa wanaoihitaji, na kwa mwenye kuso