Ukisahau Kuosha Kiungo Kimoja Katika Wudhuu Ufanyeje?

SWALI: Ukisahau kuosha viganja vya mikono na umeosha uso mara moja, je unaweza kurudi kwenye mikono bila ya kuanza udhu upya

JIBU: Sifa zote njema Anastahiki Allaah Aliyetukuka Mola Mlezi wa walimwengu wote, Swalah na salamu zimshukie kipenzi chetu Mtume Muhammad (Swalla Allaahu ‘alayhi wa aalihi wa sallam) na Swahaba zake (Radhiya Allaahu ‘anhum) na watangu wema mpaka Siku

Vitambulisho: