Muda Wa Kutwaharika Na Damu Ya Nifasi

SWALI mie nilikuwa naomba kutolewa ktk utata huu,kuna watu wanaosema mtu akijifungua basi mwisho siku 60 kama bado hajasafika na akoge na kuswali,kwani hiyo itakuwa sio damu ya nifasi tena. Na kuna mwengine ameniambia kuwa hapana ni siku 10 tu ukis

JIBU: AlhamduliLlaah - Himdi Na Sifa Zote Anastahiki Allaah (Subhaanahu wa Ta’aala) Mola wa walimwengu wote, Swalah na salamu zimshukie kipenzi chetu Mtume Muhammad (Swalla Allaahu 'alayhi wa aalihi wa sallam) na Swahaba zake (Radhiya Allaahu 'anhum) na w

Vitambulisho: