Kutengukwa Na Wudhuu Katika Swalah Ya Jamaa

SWALI: Kama unasali jamaa kati kati ukatengukwa na udhu utahitajika kuondoka pale pale au usubiri umalize then utie udhu usali tena ukizingatia jamii yetu wengi hatujui namna ya kupishana katika sala ukitokewa na udhuru.

JIBU: Sifa zote njema Anastahiki Allaah Aliyetukuka Mola Mlezi wa walimwengu wote, Swalah na salamu zimshukie kipenzi chetu Mtume Muhammad (Swalla Allaahu 'alayhi wa aalihi wa sallam) na Swahaba zake (Radhiya Allaahu 'anhum) na watangu wema mpaka Sik

Vitambulisho: