Kachukua Wudhuu Kisha Akaangalia Sinema Za Uchi Na Kusimkwa, Swalah Yake Inakubalika Kwa Wudhuu Huo?

SWALI: Assalamu alayka, ama baada ya salamu mimi nikijana wa kiislamu ambae na penda kujifunza juu ya uislamu, Ustadh napenda kuuliza swali kama ifuatavyo, Kuna dhana kua mtu hutengukwa na udhu endapo atamgusa msichana/ mwanamke ambae anafaa kumu

JIBU: Sifa zote njema Anastahiki Allaah Aliyetukuka Mola Mlezi wa walimwengu wote, Swalah na salamu zimshukie kipenzi chetu Mtume Muhammad (Swalla Allaahu ‘alayhi wa aalihi wa sallam) na Swahaba zake (Radhiya Allaahu ‘anhum) na watangu wema mpaka Siku

Vitambulisho: