Kufuliwa Nguo Na Wakristo

SWALI: Assalam alaykum warahmatullah wabarakatuh, Allah awazidishie na awafungulie milango ya kheri,nimefaidika sana na hii web yenu. Swali: Waislamu wengi wana mahausigeli wa kikiristo na hata kama sio wakiristo lkn wengi wao sheria za dini hawa

JIBU: Sifa zote njema Anastahiki Allaah Aliyetukuka Mola Mlezi wa walimwengu wote, Swalah na salamu zimshukie kipenzi chetu Mtume Muhammad (Swalla Allaahu ‘alayhi wa aalihi wa sallam) na Swahaba zake (Radhiya Allaahu ‘anhum) na watangu wema mpaka Siku ya

Vitambulisho: