Uhalali Wa Swawm Wa Aliyeoga Ghuslu Ya Hedhi Na Kufunga Siku Hiyo Hiyo

SWALI: Assalam alaykum, swali, nikiwa ndani ya hedhi na kutokana na kawaida yangu ni siku saba na siku hiyo ya saba nikawa nimenuia siku inayofuata yaani siku ya nane nitakuwa na swaumu nikakoga hedhi siku hiyo ya nane. Vipi uhalali wa

JIBU: Sifa zote njema Anastahiki Allaah Aliyetukuka Mola Mlezi wa walimwengu wote, Swalah na salamu zimshukie kipenzi chetu Mtume Muhammad (Swalla Allaahu ‘alayhi wa aalihi wa sallam) na Swahaba zake (Radhiya Allaahu ‘anhum) na watangu wema mpaka Siku

Vitambulisho: