Wudhuu Unavunika Ikiwa Hukujifunika Vizuri?

SWALI: Assalamu Alaykum. Swali langu. unapotia udhu ukiwa umevaa Bukta au suruali kipande imekufika mapajani tu. Udhu unaingia Na vile vile kama uko tumbo wazi kitovu kinaonekana una hio suruali kipande tu. Udhu Unaingia. Waasala Alaykum

JIBU: Sifa zote njema Anastahiki Allaah (Subhaana wa Ta'aala) Aliyetukuka Mola Mlezi wa walimwengu wote, Swalah na salamu zimshukie kipenzi chetu Mtume Muhammad (Swalla Allahu 'alayhi wa aalihi wa sallam) na Swahaba zake (Radhiya Allahu 'anhum jamiy'an)

Vitambulisho: