Anaona Kinyaa Kupokea Mkono Anaposalimiwa Kwa Sababu Ya Uchafu

SWALI: suala langu la pili kuhusu utulivu ndani ya swala tunakuta wenzetu wengine wanakuja hali ya kuwa wanajikuna kila wakati na katika kujikuna kwao unafikia unakuwa unaona kinyaa kwani kuna baadhi ya watu ni kawaida yao wanafikia mpaka wanaji

JIBU: Sifa zote njema Anastahiki Allaah Aliyetukuka Mola Mlezi wa walimwengu wote, Swalah na salamu zimshukie kipenzi chetu Mtume Muhammad (Swalla Allaahu ‘alayhi wa aalihi wa sallam) na Swahaba zake (Radhiya Allaahu ‘anhum) na watangu wema mpaka Sik

Vitambulisho: