Semina ya Fiqhi ya twahara katika picha

Semina ya Fiqhi ya twahara katika picha
10291
 

Mtume amesema (Ikiwa Mwenyezi Mungu anataka kumfanyia mtu mema, humfanya afahamu dini hiyo)

:Kujuza hukumu za twahara kwa picha

 .Waweza kuishiriki bure katika semina hii

Muda wa semina:siku 6 zimegawika kwa masomo11 fupi kila somo lina video fupi na somo lililoandikwa

Utaratibu wa Kujiunga na Semina

Kujisajili kimtandao kwenye Link

Telegram - Apps on Google PlayKujisajili kimtandao kwenye 

Kufaidika na mada za Semina na kujifunza

Kujibu maswali ya mtihani kwa njia ya kimtandao

Kupokea Shahada inayo kubalika ya kufuzu semina inayo tolewa na tovuti ya fiqh ya ibada kwa njia ya Picha na space chanels

Mada za Semina: Ni video 11 pamoja na kila video kuna somo limeandikwa

Mada za Semina: Fiqhi ya twahara kwa picha ina kusanya yafuatayo:lugha
العربية | English | বাংলা | Español | فارسی | Français | Hausa | Indonesia | አማርኛ
 Kiswahili | اردو | 中文 | turky