Semina Ya Fiqhi Kuhusu Hukumu Za Swaumu Kwa Picha

Semina Ya Fiqhi Kuhusu Hukumu Za Swaumu Kwa Picha
5484

Kwa kuzijua hukumu mbalimbali za mwezi wa Ramadhani, unaweza kujiunga bure katika semina hii
Muda wa semna: Ni dakika 50 zilizo gawanywa kwa video sita fupi pamoja na mada zingine na mtihani.
Mada za Semina: Ni video 6 pamoja na kila video kuna somo limeandikwa.
Mada za Semina: Fiqhi ya Swaumu kwa picha ina kusanya yafuatayo:


فضل الصيام وحكمه أركان الصيام ومباحاته ومستحباته ومكروهاته ومفسداته
FADHILA ZA SAUMU NA HUKUMU ZAKE Nguzo za Saumu na ya kuharibu Saumu
Saumu za Sunna
(Usiku wa cheo)Lailatu Al-qadr Itikafu(kukaa ndani ya msikiti)

Utaratibu wa Kujiunga na Semina:

Kujisajili kimtandao kwenye Link   
Telegram   Telegram - Apps on Google Play
Kufaidika na mada za Semina na kujifunza
Kujibu maswali ya mtihani kwa njia ya kimtandao
Kupokea Shahada inayo kubalika ya kufuzu semina inayo tolewa na tovuti ya mafunzo ya ibada kwa njia ya Picha
lugha
العربية | English | বাংলা | Español | فارسی | தமிழ் | Français | Hausa | Indonesia | አማርኛ | Kiswahili | اردو | turky