Imaam Ibn Baaz - Hukmu Ya Anayeswali Ijumaa Pekee Na Kuacha Swalaah Zilizobaki

SWALI: Kuna mtu anaswali Ijumaa pekee bila kuswali Fardhi zilizobaki, je, inakubaliwa Swalaah yake?

JIBU: Haikubaliwi Swalaah yake, kwa hakika amekuwa Kafiri kwa hilo. Swalaah yake ya Ijumaa, Swawm yake, na matendo yake yote ni batili. Anasema Aliyetukuka: "Na kama wangemshirikisha bila shaka yangebatilika yale waliyokuwa wakitenda." [Al-An

Vitambulisho: