Swalaah Za Sunnah Zinaswaliwa Rakaa Ngapi Ngapi?

SWALI: assalam alaikum kwanza nashukuru kw kutupa zinduo katika dini yatu, Allah akulipeni hapa duniani na kesho akhera. swali langu ni hili vipi mtu ataswali hizi rakaa 4 za kabliya ya dhuhuri? sin memngi nakutakiyeni Ramadhani njema.

JIBU: Sifa zote njema Anastahiki Allaah Aliyetukuka Mola Mlezi wa walimwengu wote, Swalah na salamu zimshukie kipenzi chetu Mtume Muhammad (Swalla Allaahu 'alayhi wa aalihi wa sallam) na Swahaba zake (Radhiya Allaahu 'anhum) na watangu wema mpaka Siku ya

Vitambulisho: