semina ya hukumu za hijji na umra

semina ya hukumu za hijji na umra
2237

Mtume amesema (Ikiwa Mwenyezi Mungu anataka kumfanyia mtu mema, humfanya afahamu dini hiyo)

Kujua hukumu za hijja kwa picha:

 Waweza kuishiriki bure katika semina hii.

Muda wa semina:siku 6 zimegawika kwa masomo 11 fupi kila somo lina video fupi na somo lililoandikwa

Utaratibu wa Kujiunga na Semina

 Kujisajili kimtandao kwenye Link  

Kujisajili kimtandao kwenye Telegram - Apps on Google Play

Kufaidika na mada za Semina na kujifunza

Kujibu maswali ya mtihani kwa njia ya kimtandao

Kupokea Shahada inayo kubalika ya kufuzu semina inayo tolewa na tovuti ya fiqh ya ibada kwa njia ya Picha na space chanels

Mada za Semina: Ni video 11 pamoja na kila video kuna somo limeandikwa

Mada za Semina: Fiqhi ya hijja kwa picha ina kusanya yafuatayolugha :