Maana Ya Janaba, Na Kuoga Janaba Kwa Asiyeoa

SWALI: Assalaamu alaikum, Je nani anaruhusiwa kukoga janaba kati ya mtu kisha oa na mwenye ajaoa (ao ajaolea) Na nini maana ya janaaba kwa ufupi ao kujitwayarisha Masalam Assalaamu alaikum,

JIBU: Sifa zote njema Anastahiki Allaah Aliyetukuka Mola Mlezi wa walimwengu wote, Swalah na salamu zimshukie kipenzi chetu Mtume Muhammad (Swalla Allaahu ‘alayhi wa aalihi wa sallam) na Swahaba zake (Radhiya Allaahu ‘anhum) na watangu wema mpaka Sik

Vitambulisho: