Hukmu Ya Kujichora Mwili Tattoo – Swalaah Inakubaliwa? Afanyeje Baada ya Kutubu Nayo Haitoki?

SWALI: Asalam aleikum, kuweka tattoo imekubakiwa katika dini ya kislamu? swalah itakubaliwa? na kama unayo waeza fanyaje? Thank you Assalam alykum. Mimi nimejichora tattoo mwilini. Sasa nimetambua kuwa ni dhambi, na kuitoa haiwezekani tena. Je,

JIBU: Sifa zote njema Anastahiki Allaah Aliyetukuka Mola Mlezi wa walimwengu wote, Swalah na salamu zimshukie kipenzi chetu Mtume Muhammad (Swalla Allaahu ‘Alayhi wa aalihi wa sallam) na Swahaba zake (Radhiya Allaahu ‘anhum) na watangu wema mpaka Sik

Vitambulisho: