Hajj Itasihi Akiwa Na Uhasama Na Wengine?

SWALI: ASALAMA ALAYKUM mimi suala langu kuwa hija yangu itaswihi ikiwa sisemeshani na familiya ya mume wangu, lkn mimi nipo tayari kwa kusemesha nao lkn wao hapo tayari tena hata kwa kuisogelea ile nyumba yao. Naomba nifahamishe uzuri kuhusu hili suala

JIBU: Sifa zote njema Anastahiki Allaah Aliyetukuka Mola wa walimwengu wote, Swalah na salamu zimshukie kipenzi chetu Mtume Muhammad (Swalla Allaahu 'alayhi wa aalihi wa sallam) na Swahaba zake (Radhiya Allaahu 'anhum) na watangu wema mpaka Siku ya Mwish

Vitambulisho: