Kumpeleka Hajj Mzazi Kwa Pesa Za Hawara

SWALI: mimi nina mwanaume ambaye anapesa sana sasa nilitaka kumwambia anipe pesa nimpeleke mama yangu hajj ila nikasita nikaona bora niulize kwanza je inafaa? mana siendi mimi nampeleka mama yangu jekwa sababu ni mama inafaa ? mana sio muhusika wa yu

JIBU: Sifa zote njema Anastahiki Allaah Aliyetukuka Mola wa walimwengu wote, Swalah na salamu zimshukie kipenzi chetu Mtume Muhammad (Swalla Allaahu ‘alayhi wa aalihi wa sallam) na Swahaba zake (Radhiya Allaahu ‘anhum) na watangu wema mpaka Siku ya Mw

Vitambulisho: