Kufanya Hajj Na Huku Familia Yake Inalishwa Na Serikali Ulaya; Hawakusema Serikalini Kuwa Wameoana

SWALI: ASSALAM ALAYKUM WARAHMATULLAH MIMI NAOMBA NIULIZIE KUHUSU MTU AMBAE ANATAKA KWENDA KUTEKELEZA IBADA YA HAJJ NA ANOUWEZO WA KIAFYA NA KIFEDHA ZA KUACHIA MKE WAKE NA WATOTO WAKE KWA AJILI YA MATUMIZI YAO, LAKINI NYUMBA WANAYOKAA WANALIPIWA NA

JIBU: Sifa zote njema Anastahiki Allaah Aliyetukuka Mola wa walimwengu wote, Swalah na salamu zimshukie kipenzi chetu Mtume Muhammad (Swalla Allaahu ‘alayhi wa aalihi wa sallam) na Swahaba zake (Radhiya Allaahu ‘anhum) na watangu wema mpaka Siku ya Mw

Vitambulisho: