Nguzo Ya Hajj Itekelezwe Mara Ngapi Kishari#039;ah?

SWALI: as.kum hijja mafrudh ni faradhi kwa mwenye uwezo jee hajj hasa ni mara ngapi mbona watu wanakwenda zaidi ya mara 1inakuaje?

JIBU: Sifa zote njema Anastahiki Allaah Aliyetukuka Mola wa walimwengu wote, Swalah na salamu zimshukie kipenzi chetu Mtume Muhammad (Swalla Allaahu ‘alayhi wa aalihi wa sallam) na Swahaba zake (Radhiya Allaahu ‘anhum) na watangu wema mpaka Siku ya Mwish

Vitambulisho: