Wakati Wa Swalah Ya Tahajjud Na Vipi Kuswali

SWALI: Swala ya Tahajjud inaswaliwa vipi? Na wakati gani? Je unaweza kutumia saa yake ikuamshe ili upate kuswali au mpaka uamke mwenyewe?

JIBU: AlhamduliLLaah - Sifa njema zote Anastahiki Allaah (Subhaanahu wa Ta’aala) Rabb wa walimwengu, Swalaah na salamu zimshukie kipenzi chetu Mtume Muhammad (Swalla Allaahu 'alayhi wa aalihi wa sallam) na Swahaba zake (Radhwiya Allaahu 'anhum) na wal

Vitambulisho: