Anapoharibu Mimba, Afanye Wudhuu Au Ghuslu?

SWALI: Mimi nina swali langu moja je DAMU ya mimba iliotoka au kutolewa ikisha isha mwanamke hujipa udhu vipi samaha ikiwa kama swali litakua limesha ulizwa sana na wengine

JIBU: Sifa zote njema Anastahiki Allaah Aliyetukuka Mola Mlezi wa walimwengu wote, Swalah na salamu zimshukie kipenzi chetu Mtume Muhammad (Swalla Allaahu 'alayhi wa aalihi wa sallam) na Swahaba zake (Radhiya Allaahu 'anhum) na watangu wema mpaka Siku ya

Vitambulisho: