Afanye Wudhuu Kila Baada Ya Kunyonyesha?

SWALI: Napenda kupata uhakika kuhusu wudhuu kamili mimi ninanyonyesha kwani ni lazima kila ninapotaka kutia wudhu kwa ajili ya swala nisafishe chuchu Au naweza kunyonyesha nikiwa na wudhu kisha nikaendelea kuswali ama mpaka nikatawadhe tena

JIBU: Sifa zote njema Anastahiki Allaah Aliyetukuka Mola Mlezi wa walimwengu wote, Swalah na salamu zimshukie kipenzi chetu Mtume Muhammad (Swalla Allaahu ‘alayhi wa aalihi wa sallam) na Swahaba zake (Radhiya Allaahu ‘anhum) na watangu wema mpaka Siku ya

Vitambulisho: