Akipata Zawadi Akaiuza Kisha Atoleee Zakaah Pesa, Inafaa?

SWALI: Asalam aleikum nchi ya Malaysia kuna offers zenye the government na company kadha hutoa tickets za kuzuru nchi mbali mbali na pia kuna zawadi zingine kwa jumla offer hii ni ya mara tatu kwa mwaka march august na December. I got the zawadi and

JIBU: Sifa zote njema Anastahiki Allaah Aliyetukuka Mola Mlezi wa walimwengu wote, Swalah na salamu zimshukie kipenzi chetu Mtume Muhammad (Swalla Allaahu ‘alayhi wa aalihi wa sallam) na Swahaba zake (Radhiya Allaahu ‘anhum) na watangu wema mpaka Siku

Vitambulisho: