Inafaa Kuwapa Zakaah Ndugu?

SWALI: Asalam Aleikum ndugu zangu, Allah Barik Inshallah kwa juhudi zenu. Mimi swala langu nila zakat nataka kujua kama ninavyo fanya ni sawa katika dini yetu ya kiislamu. Zakat yangu huwapa dada zangu wawili mmoja ni mkubwa wangu sana lakini hajaol

JIBU: Sifa zote njema Anastahiki Allaah Aliyetukuka Mola wa walimwengu wote, Swalah na salamu zimshukie kipenzi chetu Mtume Muhammad (Swalla Allaahu 'alayhi wa aalihi wa sallam) na Swahaba zake (Radhiya Allaahu 'anhum) na watangu wema mpaka Siku ya Mwi

Vitambulisho: