Atoe Zakaah Ya Mwaka Uliopita? Je, Mtu Analazimika Kutolea Zakaah Mali Ya Bosi Wake Asiyetoa Zakaah?

SWALI: Assalaam Alaykum waba'ad kwa mfano ndugu kapewa biashara na kaka ake ya milioni 3 lkn huyu kaka mwaka wa nyuma hajaitolea zaka (duka) lakeje uyu ndugu anawajibika yeye kulitolea zakah ule mwaka ulopita au aanze pale alipokabiziwa yeye kwenda mbele? Na je ipo sharia yakuitolea zakah mali ya bosi wako asiyetaka kutoa zakah pasi naye bosi kujua?

JIBU:
Vitambulisho: