Alinuia Kutoa Zakaah Ya Dhahabu Kumpa Ndugu Yake Lakini Ametoa Kwengine

SWALI: Natumai wote hamjambo,nilikuwa na swali langu,enshallah mutaweza kunijibu,mie ni mwanamke nilienda kupima dhahabu zaku kwa ajili ya kutoa zaka,nikatajiwa kiasi fulani cha kutoa,nikanuia nusu nitoe kwa dada yangu mkubwa na nusu nitoe kwa dada yangu

JIBU: Sifa zote njema Anastahiki Allaah Aliyetukuka Mola Mlezi wa walimwengu wote, Swalah na salamu zimshukie kipenzi chetu Mtume Muhammad (Swalla Allaahu 'alayhi wa aalihi wa sallam) na Swahaba zake (Radhiya Allaahu 'anhum) na watangu wema mpaka Siku ya

Vitambulisho: